'House boy' atupwa jela kwa kumbaka mtoto wa bosi wake

0

 Mahakama ya Wilaya Siha mkoani Kilimanjaro imemuhukumu Yonana Youzo (19), mfanyakazi wa ndani mkazi wa Kijiji cha Wiri wilayani Siha, Mkoa wa Kilimanjaro kwenda jela miaka 5 kwa kosa la shambulio la kingono kwa mtoto wa miaka (3).


Mwendesha Mashitaka wa Sherikali, Kurwa Mungo mbela ya Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama hiyo Petro Elibahat amesema tukio hilo limetokea Machi 6 mwaka huu majira ya saa tatu usiku katika kijiji hicho.

Mwendesha mashitaka huyu amesema siku ya tukio nyakati za usiku mtoto huyo alikuwa na mama yake mzazi na mfanyakazi wa ndani wakiwa nyumbani ndipo mama mzazi wa mtoto huyu alitoka nje.

Aliporudi alishangaa mtoto wake akiwa amevuliwa nguo na alipochukua nguo hizo na kuikagua na kuona mbegu za kiume na alipombana kijana huyo, alikiri kumuingilia kwenye mapaja ya mtoto huyo.

Huyo mshitakiwa alishika miguu ya mtoto na kuibana kisha kuingiza uume wake hadi akamaliza haja yake. Kutokana na unyama huo Mahakama imemhukumu kwende jela miaka 5 ili iwefundisho.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top