Kama unaona bando linawahi kuisha zima data-Naibu Waziri

0

Sakata la bando kuisha haraka kwa watumiaji limeibuka bungeni hii Aprili 13, 2023 na kuhojiwa ni kwa nini Serikali haichukui hatua kuhusu suala zima la bando kuisha kwa haraka?


Aidha, Naibu Waziri wa Habari na Mawasiliano, Injia Kundo A. Mathew ametoa majibu kuwa suala la bando kuisha ni matumizi ya mteja na hakuna mtu anayeweza kuzuia matumizi ya mteja isipokuwa yeye mwenyewe.

Ameongeza kuwa unakuta mtu ana-download vitu vingi na ana-upload vitu vingi kwa hiyo watu wanapaswa kudhibiti data kwa kupunguza matumizi au kuzima data anapokuwa hana mahitaji nazo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top