Mbunge asema Serikali ianzishe Mtaala wa Utajiri

0

Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro ameitaka Serikali kuanzisha mtaala unaohamasisha utajiri kwa Wanafunxi ili wanapomaliza elimu yao wawe wameshazijua fursa za uwekezaji na waondokane na dhana ya kuamini kila Tajiri ni Fisadi au kuhisi ni Freemanson.

Ruhoro amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi katika Ofisi ya Rais Ikulu na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2023/23 iliyoomba Bunge kupitisha kiasi cha shilingi Trilioni 1

“Imefika mahali kwenye Taifa letu Watanzania wanaishi kwa uoga nilitarajia kwenye Taifa letu tuwe na Mawaziri wanamiliki ndege ila hatuna, ni waoga sasa matokeo yake tunajinyima fursa, Mtu akiwa Tajiri anaonekana Fisadi au Freemanson”

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top