Mchungaji mwingine akamatwa Kenya nae ahusishwa na vifo vya waumini

0

 Mchungaji wa Kanisa la New Life International Church, Ezekiel Odero lililopo kwenye eneo la Mavueni katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya amekamatwa. 

Kukamatwa kwake kumekuja siku moja baada ya kuhojiwa kuhusu madai ya kuwa na uhusiano na Paul Mackenzie ambaye kanisa lake limesababisha vifo vya takriban watu 98 kwa kuwataka waumini wake wasile chakula ili wafe wakamuone Yesu

Akithibitisha hilo Kamishna wa Mkoa wa Pwani Rhoda Onyanja amesema  Ezekiel amekamatwa kufuatia madai ya vifo ambavyo vimekuwa vikitokea pia katika kanisa lake. 

Onyanja amesema Kanisa la Ezekiel pia limefungwa kwa muda usiojulikana

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top