Mkuu wa wilaya amsimamisha kazi mwenyekiti anayetuhumiwa kuuza viwanja

0

Mkuu wa wilaya ya Geita, Cornel Magembe amelazimika kumsimamisha mwenyekiti wa kijiji cha Saragulwa kilichopo Kata ya Nyamilolelwa, Francis Gwama kwa tuhuma za kuuza viwanja vya pori tengefu vilivyotengwa kwa ajili ya kupewa wananchi wa kijiji hicho waliojitolewa eneo kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari.

Maganga ametoa uamuzi huo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kijijini hapo kufuatia wananchi kumueleza mkuu wa wilaya tuhuma hizo za mwenyekiti huyo kwa kishiriki uuzaji wa viwanja.

"Namuagiza katibu tawala tume iundwe ili kufatilia ukweli wa hiii tuhuma ila sasa aachie Ofisi kwanza mpaka uchunguzi utakapokamilika." amesema

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 




#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top