Tarimba adai anayenyatia jimbo lake anakwamisha maendeleo

0

 Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) amedai kuwa kuna kigogo anazuia ujenzi wa hospitali katika jimbo hilo kwa nia ya kutafuta ubunge 2025.

Hata hivyo, Tarimba amesema huyo anayetaka kufanya hivyo anamkaribisha kupambana naye lakini asitumie njia ya kuzua ujenzi wa hospitali ambayo ni huduma kwa wananchi.

Tarimba ametoa kauli hiyo leo Jumanne April 18, 2023 wakati akichangia kwenye hotuba ya Makadilio ya Mapato na matumizi kwa Wizara ya Tamisemi kwa mwaka 2023/24 ambapo ameomba apelike jina kwa Waziri.

Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) amedai kuwa kuna kigogo anazuia ujenzi wa hospitali katika jimbo hilo kwa nia ya kutafuta ubunge 2025.

Hata hivyo, Tarimba amesema huyo anayetaka kufanya hivyo anamkaribisha kupambana naye lakini asitumie njia ya kuzua ujenzi wa hospitali ambayo ni huduma kwa wananchi.

Tarimba ametoa kauli hiyo Jumanne April 18, 2023 wakati akichangia kwenye hotuba ya Makadilio ya Mapato na matumizi kwa Wizara ya Tamisemi kwa mwaka 2023/24 ambapo ameomba apelike jina kwa Waziri.

cc:mwananchi

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top