Ajirusha kutoka ghorofa ya 15 na kufariki

0

 Kijana ambaye jina lake halijafahamika, akikadiriwa kuwa na umri wa miaka 32-35, amefariki, baada ya kujirusha kutoka ghorofa ya 15, katika jengo la Derm lililopo Makumbusho mkoani Dar es Salaam

Mmoja Shuhuda wa tukio hilo Sabrina amesimulia kuwa mtu huyo amejirusha kama ajali ya mtu kugongwa lakini ni kitu kimedondoka kutoka ghorofani mpaka chini ambapo walikisikia kishindo.

Pia amesema mtu huyo hafanyi kazi katika jengo alilojirusha na wala sio mkazi wa maeneo hayo.

Kwa mujibu wa Mlinzi wa ghorofa alijirusha mwanaume huyo amesema mtu huyo alikuwa anaenda kuswali sala ya Alfajiri ghorofani ambapo baada ya muda mchache alijirusha.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

 


 

 
#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top