MUNGU! Pekee anajua kuhusu huyu binti aliyeacha msiba kwenda kufanya mitihani yake!

0

 Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya gari ndogo aina ya Noah iliyosombwa na maji iliyoyokea katika kata ya Maluka Wilayani Arumeru Mkoani Arusha, imefikia watano.


Hii ni baada ya Angel Metili ambaye ni mama wa mwanafunzi Careen Metil huku ikimlazimu mwanafunzi huyo kuondoka kwenda kufanya mitihani ya kidato cha sita inayoanza Mei 2, 2023.

Careen amesema aliwazika ndugu zake wanne waliofariki ndani ya wiki moja iliyopita na amerejea shuleni kufanya mitihani ya kidato cha sita.

“Namshukuru Mungu amenisaidia hadi hapa nilipofika na nina uhakika naenda kufanya mtihani na uhakika nitaenda kufanya mitihani vizuri, Mungu ndiye ananipa imani, taarifa za msiba wa mama niliambiwa na baba mkubwa wangu ni mipango ya Mungu," amesema Careen.

Ajali hiyo ilitokea wiki iliyopita baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwena kwenye mahafali ya mwanafunzi huyo kusombwa na maji.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top