Picha ya Kushoto ndio picha alioshirikisha katika kurasa za mitandao yake ya kijamii akiwa ameacha na ujumbe huu!
Hatimaye Msanii nguli wa Tanzania Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay amerudi tena kwenye mitandao ya kijamii kwa mara ya kwanza mei 2 2023 ikiwa ni baada ya siku zaidi ya 462 za kutokuweka chochote kwenye kurasa zake baada ya kuugua na kulazwa Hospitali ambapo kwenye post yake mei 2 2023 ameweka picha ya muonekano wake wa sasa
TAZAMA FULL VIDEO HAPA YA PROF JAY