Baadhi ya wazazi mkoani Njombe wanadaiwa kuwatelekeza watoto wao wajilee huku wao wakitumia muda mwingi katika kutafuta mali hali inayodaiwa kuchangia malezi yasiyofa kwa watoto.
Afisa
Maendeleo ya Jamii mkoa wa Njombe Elice Simonile akizungumza na mtandao huu
katika mahojiano Maalum kuhusu siku ya Familia amesema kuwa Ikiwa Familia
Zitazingatia mambo matatu ambayo ni Mawasiliano ndani ya familia,Malezi chanja
na utoaji wa huduma kwa usawa utachangia kuwa na familia Imara.
Amesema
kutokana na makongamano na mikutano waliyofanya kwa kukutana na wananchi maeneo
mbalimbali Mkoani Njombe,wamebaini watoto wengi wanajilea wenyewe huku wazazi
wao wakijikita kutafuta mali.
KWA UNDANI ZAIDI TAZAMA VIDEO HII.