Hatimaye Yanga sc imefanikiwa kutetea tena taji lake la Ligu kuu Tanzania Bara TPL -2022/2023. Baada ya kuwalisha vyuma vinne Dodoma Jiji kwa mbili.
Huu ni ubingwa wake wa 29 tangu kuanzishwa kwake na ni baada ya ushindi wa leo 4-2 dhidi ya Dodoma Jiji na kufikisha pointi 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote.
Neno moja kwa Wananchi…